FAIDA YA MAJIVU KWA KUKU | jinsi ya kuitumia majivu kwenye ufugaji kuku
Автор: Ben Kukufarm
Загружено: 2025-06-15
Просмотров: 59093
Описание:
Karibu kwenye video hii ya kipekee inayofafanua faida za majivu katika ufugaji wa kuku. Utajifunza jinsi ya kutumia majivu kuzuia vimelea kama chawa na kupe, kusafisha vyombo, kudhibiti harufu bandani, na kuongeza madini kama calcium na potassium kwenye lishe ya kuku. Tazama hadi mwisho upate mbinu bora na za gharama nafuu zinazokuokoa pesa na kuboresha afya ya kuku wako.
Usisahau kusubscribe kwa maarifa zaidi ya ufugaji wa kuku wa kisasa na asili!
#UfugajiWaKuku
#MajivuKuku
#KilimoBiashara
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: