MSUVA ATOBOA ALICHOWAFANYIA YANGA UARABUNI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-05-25
Просмотров: 16132
Описание:
Mshambuliaji wa Difaa El Jadidi, Simon Msuva ametua nchini asubuhi ya leo kwa ajili ya mapumziko na amesema, anayachukulia mashindano ligi ya mabingwa afrika kama mengine kikubwa ni maandalizi.
Msuva aliyesajiliwa na El Jadida mwanzoni mwa msimu huu amesema, pamoja na kushiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza kwao ni kama wamefanikiwa kwa sababu hawajawahi kufika hatua ya makundi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: