Madawa ya Kulevya Ya Mpeleka DC SABAYA Polisi!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-01-29
Просмотров: 25183
Описание:
Madawa ya Kulevya Ya Mpeleka DC SABAYA Polisi
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amelazimika kwenda katika kituo cha polisi cha Wilaya ya Hai kilichopo Boma Ng'ombe Kwaajili ya kwenda kuonana na Askari wa Kituo hicho.
Ndugu Ole Sabaya aliongozona na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya wailaya ya Hai waliofika kituoni hapo na kuwapongeza askari wa kituo hicho walio kamata madawa ya Kulevya aina ya Mirungi Yenye uzito wa kilogramu mia tatu.
Mkuu wa Wilaya Sabaya amewapongeza asikari wote waliofanikisha kukamatwa kwa madawa hayo na kuwaeeleza kuwa kazi waliyo ifanya ni nzuri na wameisaidia jamii ili isiathiriwe na madawa hayo.Sambamba na hayo aliwapa Polisi hao zawadi ya Fedha Kiasi cha shilingi Miliomi Moja ili kuwaongezea Morali ya kufanya kazi zaidi.
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: