UKISIKIA JOGOO AKIWIKA KUMBUKA UHABA WA WATUMISHI KATA YA CHUNYU.
Автор: MPWAPWA NEWS ONLINE TV
Загружено: 2022-02-19
Просмотров: 175
Описание:
Diwani wa Kata ya Chunyu wilaya ya Mpwapwa ameempa zawadi ya Jogoo Mkurugenzi mtendaji wa halmashsuri ya wilaya ya Mpwapwa, ikiwa ni ishara ya kumkumbusha Kila iwikapo Jogoo huyo uhaba wa watumishi katika Kata hiyo na upungufu wa miundo mbinu ya kujifunzia kwa wanafunzi.
#SUBCRIBE LIKE AND COMENT MPWAPWA MEDIA TV #
+255784629479.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: