Mradi wa mbuzi wa maziwa
Автор: Floresta Tanzania
Загружено: 2022-01-21
Просмотров: 10250
Описание: Mradi wa mbuzi wa maziwa ulianzishwa na shirika la Floresta Tanzania 2015 kama njia mbadala na rafiki kwa mazingira kuongeza kipato na motisha kwa vikundi vinavyofanya vizuri kwenye kuhifadhi mazingira na kilimo hai. Toka kuanzishwa kwa mradi baadhi ya wanufaika wamepata mafanikio mbalimbali kama anavyojielezea kwa video.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: