Ukame wa muda mrefu Mandera waendelea kutishia maisha ya jamii za wafugaji
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 173
Описание:
Ukame wa muda mrefu katika Kaunti ya Mandera unaendelea kutishia maisha ya jamii za wafugaji, huku vifo vya mifugo vikiongezeka kwa kasi na thamani ya wanyama waliobaki ikipungua kila siku. Hali hii inaonyesha athari kubwa ya lishe inayosababishwa na uhaba wa malisho wa muda mrefu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: