FULL VIDEO: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Airport Terminal 3
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-02-08
Просмотров: 238732
Описание: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3) na kuagiza shughuli za ujenzi wa uwanja huo ziendelee kuanzia kesho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: