Hali ni tete mafuriko Rufiji, mamia kufikia makazi yao kwa ‘Boti’
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-04-04
Просмотров: 26313
Описание:
Rufiji
Mamia ya wananchi hawana mahali pa kuishi, huku wengine 55 kutoka kaya 15 wakihifadhiwa kwenye shule za msingi wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani, baada ya nyumba zao kufunikwa na maji yanayotoka katika bwawa la mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP).
Mbali na kukosa makazi, watu hao wako hatarini kukumbwa na njaa baada ya mazao yao kuzama kwenye maji mashambani.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Aprili 4, 2024 katika Kijiji cha Mohoro wilayani humo, Diwani wa Kata ya Mohoro ambaye pia nibMwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji, Aboubakari Chobo amesema tathmini za kila siku zinaonyesha maafa tanaendelea kuongezeka.
Hata hivyo, amesema wamewataka watu hao watafute sehemu nyingine maana Jumatatu Aprili 8, 2024 shule zinafunguliwa.
Amesema hakuna kifo kilichotokea tangu mafuriko yalipoanza.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: