MAHAFALI YA SHULE YA KIDATO CHA NNE, RELINI SECONDARY SCHOOL 2025
Автор: Al Kheri Online Tv
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 446
Описание:
MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE, RELINI SECONDARY SCHOOL
Mahafali ya Kidato cha Nne ya Relini Secondary School yalifanyika kwa shamrashamra kubwa, yakihudhuriwa na wazazi, walimu, wanafunzi na wageni mbalimbali. Tukio hili lililenga kuwapongeza na kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne waniomaliza masomo yao kwa mwaka 2025.
Shughuli ilianza kwa dua fupi,. Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, na hatimaye Mgeni Rasmi ambaye aliwapongeza wahitimu kwa juhudi zao na kuwatia moyo kuendelea na hatua zinazofuata katika maisha.
Burudani mbalimbali zilipamba hafla hiyo — ikiwemo kasida, na maigizo ya wanafunzi yaliyobeba ujumbe wa elimu na maadili. Wahitimu walipokea vyeti na zawadi kama ishara ya kutambua juhudi zao katika masomo.
Hafla ilihitimishwa kwa shukrani kutoka kwa walimu na wanafunzi, kisha ikafuatiwa na picha za kumbukumbu .
Kwa ujumla, tukio hili lilikuwa la furaha, pongezi na matumaini mapya kwa wahitimu wa Relini Secondary School.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: