ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

#BMGTV

Автор: BMG ONLINE TV

Загружено: 2021-11-24

Просмотров: 3126

Описание: Mwaka 2018 ujenzi wa barabara ya Sabasaba-Kiseke-Buswelu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza yenye urefu wa kilomita 9.7 uligharimu shilingi bilioni 18 ukijumuisha barabara nyingine ambazo ni Isamilo-Big Bite hadi Mji Mwema kilomita 1.2 na Makongoro Junction-Mwaloni mpaka Kigoto Kirumba kilomita 1.2 ukitekelezwa na kampuni ya Sinohydro Corporation LTD.

Pia mwaka 2016 zaidi ya bilioni mbili zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe za Muungano zilibadilishwa matumizi na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Magufuli na kuelekeza zitumike kwenye upanuzi wa barabara ya Makongoro-Airport kutoa njia mbili hadi njia nne kuanzia eneo la Ghana Quarter hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.

Fuatilia mwonekano wa kazi iliyofanyika katika barabara hizo kuanzia eneo la Buswelu-Sabasaba ambapo tamati itakuwa mzunguko wa barabara ya Kenyatta/ Rock City.

BMG Online Media- Pamoja Daima!
Tovuti https://www.bmgblog.co.tz/
Facebook   / bmghabari  
Twitter   / bmghabari  
Instagram   / bmghabari  
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
#BMGTV

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#BMGTV Uzuri wa Tanzania (S01-E18) Kisesa-Usagara ni fursa nyingine Mwanza

#BMGTV Uzuri wa Tanzania (S01-E18) Kisesa-Usagara ni fursa nyingine Mwanza

Mwanza City Tour (City Center to Nyamhongolo Bus Terminal, Buswelu to Airport)

Mwanza City Tour (City Center to Nyamhongolo Bus Terminal, Buswelu to Airport)

ULIVE: CAMEROON  ( 1 ) VS ( 0 )     GABON  (AFCON 2025)

ULIVE: CAMEROON ( 1 ) VS ( 0 ) GABON (AFCON 2025)

This is Ilemela Mwanza Tanzania, Things have Changed

This is Ilemela Mwanza Tanzania, Things have Changed

AIC BUSWELU SUNDAY CHOIR ~ Chumvi_(Official Video 2020)

AIC BUSWELU SUNDAY CHOIR ~ Chumvi_(Official Video 2020)

BMG TV: Ujenzi wa barabara ya Nyamhongolo-  Buswelu, Ilemela

BMG TV: Ujenzi wa barabara ya Nyamhongolo- Buswelu, Ilemela

Mwanza City Skyline | Tanzania | Drone Footage

Mwanza City Skyline | Tanzania | Drone Footage

MAENEO YANAYOLITAMBULISHA JIJI LA DAR ES SALAAM

MAENEO YANAYOLITAMBULISHA JIJI LA DAR ES SALAAM

MFALME ZUMARIDI AINGIA NA MAHARUSI KWA MARINGO HAIJAHI KUTOKEA

MFALME ZUMARIDI AINGIA NA MAHARUSI KWA MARINGO HAIJAHI KUTOKEA

Jiji la Mwanza fahari ya Tanzania

Jiji la Mwanza fahari ya Tanzania

ИССЛЕДУЕМ СКАЛИСТЫЙ ГОРОД НА ОЗЕРЕ ВИКТОРИЯ, ТАНЗАНИЯ / ТРОП ОЗЕРА ВИКТОРИЯ / ЭПИЗОД 12

ИССЛЕДУЕМ СКАЛИСТЫЙ ГОРОД НА ОЗЕРЕ ВИКТОРИЯ, ТАНЗАНИЯ / ТРОП ОЗЕРА ВИКТОРИЯ / ЭПИЗОД 12

MGOMO WA DALADALA JIJINI MWANZA, MADEREVA WAFUNGUKA CHANZO

MGOMO WA DALADALA JIJINI MWANZA, MADEREVA WAFUNGUKA CHANZO "TUNA UMUHIMU WETU"

#TBC1: WEKEZA TANZANIA: FURSA MPYA KIWANJA CHA NDEGE MWANZA

#TBC1: WEKEZA TANZANIA: FURSA MPYA KIWANJA CHA NDEGE MWANZA

Mwanza Tanzania: The Traditional Transportation and Firsts  Impressions!

Mwanza Tanzania: The Traditional Transportation and Firsts Impressions!

MWANZA - SOKO KUU NA STENDI YA NYEGEZI KUHAMA  KWA MUDA  KUPISHA UJENZI

MWANZA - SOKO KUU NA STENDI YA NYEGEZI KUHAMA KWA MUDA KUPISHA UJENZI

BMG TV: Tazama, unaweza usiamini kama hii ni mitaa ya Jiji la Mwanza

BMG TV: Tazama, unaweza usiamini kama hii ni mitaa ya Jiji la Mwanza

BMG TV: Mwanza ni Jiji pendwa, zuri Tanzania? Tumalize ubishi hapa!

BMG TV: Mwanza ni Jiji pendwa, zuri Tanzania? Tumalize ubishi hapa!

BMG TV: Twenzetu Usagara- Kisesa Mwanza, Tanzania

BMG TV: Twenzetu Usagara- Kisesa Mwanza, Tanzania

JIWE MAARUFU DUNIANI LIPO NDANI YA MAJI, WATU UFIKA KUTOA SADAKA

JIWE MAARUFU DUNIANI LIPO NDANI YA MAJI, WATU UFIKA KUTOA SADAKA

Ilemela yakabidhi 'Site' ya mradi wa barabara, Madiwani wachekelea uchaguzi ujao...

Ilemela yakabidhi 'Site' ya mradi wa barabara, Madiwani wachekelea uchaguzi ujao...

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]