Top Paying Graphic Design Niches in 2025 | Joel Media Podcast Tanzania
Автор: Joel Media
Загружено: 2025-11-11
Просмотров: 340
Описание:
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video Production, Website Design, Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini
Tuma Ujumbe Whatsapp ✅️: http://wa.me/+255745152680
Wasiliana nasi: +255 745 152 680 au +255 627 150 780
Katika episode hii ya tatu ya Joel Media Podcast, tunazungumzia kwa kina kuhusu niche za Graphics Design maeneo maalum ndani ya design yanayolipa vizuri zaidi na jinsi ya kuchagua sahihi kwa mafanikio yako ya muda mrefu.
Elkana (Content Creator & Trainer) na Joel Kadaga (CEO wa Joel Media) wanajadili:
Nini maana ya “niche” kwenye dunia ya graphics.
Kwa nini wabunifu wanapaswa kuwa na eneo maalum la utaalamu.
Aina 7 za niche zinazolipa zaidi mwaka 2025
Jinsi ya kuchagua niche kulingana na interest, market demand na profit.
Hatua za kujijenga na kukuza niche yako.
Ikiwa wewe ni graphic designer, mwanafunzi, freelancer au creative entrepreneur, episode hii itakupa dira ya jinsi ya kujitengenezea nafasi yako kwenye soko la ubunifu Tanzania na Afrika Mashariki.
Follow me on
Instagram: ✅️ https://bit.ly/3s2ca2z
Instagram: ✅️ https://bit.ly/4anDUPP
Facebook: ✅️ https://bit.ly/48ZjYTc
Email: ✅️ [email protected]
#GraphicsDesignTanzania #GraphicsDesignBusiness #NicheDesign #JoelMediaPodcast #CreativeEntrepreneurship #ElkanaJoelMedia #JoelKadaga #FreelancerAfrica #DesignTraining #digitalskillstanzania
00:00 – Utangulizi: Karibu Joel Media Podcast
01:30 – Nini maana ya niche kwenye Graphics Design
04:50 – Kwa nini ni muhimu kuwa na niche moja
08:00 – Aina kuu za niche za Graphics Design
14:30 – Brand Identity na Social Media Design
18:20 – Printing, Package na Signage Design
22:40 – Motion Graphics na UI/UX Design
25:00 – Jinsi ya kuchagua niche inayokufaa
27:30 – Namna ya kukuza niche yako sokoni
29:00 – Hitimisho na mwaliko wa kujiunga na Joel Media
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: