GARI la KUSAFIRISHA MAITI LAKAMATWA Likiwa LINASAFIRISHA MIRUNGI, KAMANDA Aeleza A-Z...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2021-01-13
Просмотров: 89834
Описание:
GARI la KUSAFIRISHA MAITI LAKAMATWA Likiwa LINASAFIRISHA MIRUNGI, KAMANDA Aeleza A-Z...
KATIKA Hali isiyokuwa ya kawaida, Kamanda wa polisi mkoani Tanga amethibitisha kukamata gari la kusafirishia maiti likiwa linasafirisha madawa ya kulevya aina ya mirungi.
Kamanda anasema kuwa gari hilo lilikuwa limepeleka maiti na wakati wa kurudi dereva akaamua arudi na mzigo huo wa mirungi.
Kamanda pia ameeleza kuwa endapo mahakama itamhukumu dereva kwa kosa hilo basi gari hilo litastaafishwa na dereva huyo atatumikia kifungo kwa mujibu wa sheria.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: