FAINALI ASFC: Fahamu maana ya jina 'SINGIDA'
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-05-30
Просмотров: 24454
Описание:
Makala hii imezungumza na Mzee Ramadhan Sia, ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Singida, anaifahamu vizuri historia ya mkoa huo, anafahamu sababu za eneo hilo kuitwa Singida na anafahamu maana ya jina ‘Singida’.
Ni kuelekea mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kati ya Singida United dhidi ya Mtibwa Sugar, itakayopigwa Juni 2, 2018 kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: