FAKE IT, UKILEGEA WANAKUCHEZEA, JICHANGANYE,SIJAMPA HATA MMOJA WA KWENYE INDUSRTY,NINGEKUWA MANAGER
Автор: Aznas Media
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 172
Описание:
Karibu AZNAS MEDIA - Nyumba ya Sanaa, Maarifa na Burudani Halisi!
AZNAS MEDIA ni jukwaa la kidigitali linalokuletea matukio ya muziki hususan Hip Hop, mahojiano ya kipekee na wasanii, pamoja na maudhui bora ya podcast za biashara, maisha na maendeleo binafsi.
Tunalenga kukuunganisha na Matukio makubwa ya muziki na burudani | Podcast za biashara na ujasiriamali |Podcast za maisha, mafanikio na mindset |Matukio ya kijamii na burudani |Mahojiano ya kipekee na wasanii na watu maarufu wenye mchango chanya kwa jamii
AZNAS MEDIA si channel ya kawaida ni jukwaa la kuelimisha, kuhamasisha na kuburudisha kizazi cha sasa kwa maudhui yenye ubora wa hali ya juu.
Kama unapenda Hip Hop Culture | Biashara na Mafanikio | Maisha na Maendeleo binafsi | Exclusive interview | Burudani safi na yenye thamani.
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii @aznas_media @aznas_music @aznas_printing
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: