TUKIO LA KIHISTORIA|Utoaji wa Tuzo Kwa Mashekhe Afrika Mashariki
Автор: AL MUGHIITHU MEDIA
Загружено: 2026-01-06
Просмотров: 201
Описание:
KUWATHAMINI WANAOBEBA AMANA YA DINI|
Tuzo Maalum Kwa Wanazuoni Wa Afrika Mshariki
Utoaji wa Tuzo za Mashekhe wa Afrika Mashariki
Katika video hii tunashuhudia tukio la kihistoria la kuwatutunuku tuzo Mashekhe wa Afrika Mashariki kwa kuthamini mchango wao mkubwa katika kusimamisha Dini, kueneza Elimu ya Kiislamu na kuongoza Ummah kwa hekima na uadilifu.
Tuzo hizi ni ishara ya heshima, shukrani na kujali juhudi zao zisizo na kuchoka katika kuijenga jamii kwa misingi ya Maadili mema.
Kwani Mashekhe ni taa za Ummah
Endelea kutufuatilia kupitia AL-MUGHIITHU MEDIA
Mkombozi wa Nyoyo na Akili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: