Mizozo ya viongozi yachacha Kanisa la Methodist
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-09-14
Просмотров: 678
Описание:
Mzozo wa uongozi katika kanisa la Methodist la Changamwe katika kaunti ya Mombasa ulikithiri leo baada ya waumini kuzuiwa kuingia kanisani. Waumini waliofika kwa ibada ya kanisani walilazimika kurejea nyumbani baada ya kupata kanisa hilo likiwa limefungwa na wakazuiwa kuingia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: