"DAKTARI ALIYEMFANYIA UPASUAJI MGONJWA NYUMBANI KWAKE AFUKUZWE HARAKA" WAZIRI MKUU DKT.MWIGULU
Автор: Johari Media
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 56
Описание:
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kali dhidi ya muuguzi mmoja mkoani Tabora anayedaiwa kufanya upasuaji wa mgonjwa nyumbani kwake, kinyume na maadili na taratibu za taaluma ya afya.
Akizungumza leo Machi 4, 2026, jijini Dodoma baada ya kusimamishwa na wafanyabiashara wa Soko la Machinga alipokuwa akizungumza nao, Waziri Mkuu alisema haiwezekani kwa mtu kufanya upasuaji nyumbani wakati Serikali imejenga hospitali, vituo vya afya na hospitali za rufaa katika maeneo mbalimbali ili wananchi wapate huduma salama na stahiki.
#joharimedia
#Waziri Mkuu
#dodoma #africa
#ikulumawasiliano
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: