Tatizo Sio Mshahara, Tatizo ni Hili (Vijana Wengi Hawatakubali)
Автор: THE TRANSITION
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 113
Описание:
Je, kweli mshahara ni mdogo… au tatizo ni namna tunavyosimamia pesa?
Kwenye episode hii tunachambua kwa kina maisha ya vijana wenye ajira Tanzania.
Kuanzia mshahara wa 800,000 – 1,000,000 TZS kwa mwezi, je realistically unaweza:
✅Kujenga ndani ya miaka 3?
✅Kuweka akiba ya maana?
✅Kuanza kuwekeza?
Tunazungumzia makosa ya kifedha vijana wengi hufanya mwaka wa kwanza kazini, lifestyle inflation inavyotuathiri bila kujua, na mfumo rahisi wa kusimamia fedha bila kuwa na background ya accounting.
Pia tunagusa: Family pressure na michango
✅ Mikopo ya simu
✅ Social expectations
✅ Budgeting vs kuongeza kipato
✅Excel kama career & money advantage
Hii ni discussion ya ukweli na halisi bila kuficha wala kupaka rangi.
Kama wewe ni kijana mwenye ajira au mwanafunzi wa chuo anayetaka kujiandaa mapema video hii ni kwa ajili yako
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: