2. Anza kwa Ku-Download na Ku-Install MySQL (Windows & Linux)
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-05-14
Просмотров: 684
Описание:
Karibu kwenye Sehemu ya 2 ya Kozi ya MySQL kwa Kiswahili! Katika somo hili la vitendo, utajifunza jinsi ya kupakua, kuinstall, na kujiandaa kutumia MySQL kwenye Windows na Linux (Ubuntu/Debian).
Hii ni hatua muhimu sana kabla hujaanza kuandika queries zako za SQL.
Video ya Hatua kwa Hatua Namna ya Ku Download na Ku Install MySQL:
• Download and Install MySQL Server Step by ...
🔧 Mambo Utakayojifunza Katika Video Hii:
✅ Jinsi ya kupakua toleo la karibuni la MySQL
✅ Hatua kwa hatua jinsi ya kuinstall MySQL kwenye Windows
✅ Jinsi ya kuInstall MySQL kwenye Linux (Ubuntu/Debian)
✅ Tofauti kati ya MySQL Shell na MySQL Workbench
✅ Jinsi ya kuhakikisha kuwa MySQL imekuwa installed vizuri na iko tayari kutumika
Video hii ni ya vitendo kabisa (practical) — unaweza kufuata hatua kwa hatua huku uki-install kwenye kompyuta yako.
Baada ya somo hili, utakuwa tayari kuanza kuandika SQL queries zako katika somo linalofuata!
🛠️ Unachohitaji:
✅Kompyuta yenye Windows au Linux
✅Internet kwa ajili ya kupakua MySQL Installer
💡 TIPS:
➡️Hakikisha unakumbuka root password yako
➡️Kama kuna tatizo kwenye installation, unaweza ku-uninstall na kuanza tena
➡️Tumia Workbench kwa kubuni database na Shell kwa kuandika queries haraka
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: