HATIMA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL IMEZINGIRWA NA SINTOFAHAMU KUFUATIA MASHAMBULIZI YAMAKOMBORA YA IRAN
Автор: Focus News Tanzania Tv 1
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 9707
Описание:
HATIMA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL IMEZINGIRWA NA SINTOFAHAMU KUFUATIA MASHAMBULIZI YA MAKOMBORA YA IRAN
TEHRAN (Tasnim) – Mahali alipo waziri mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu, haijulikani kufuatia mashambulizi yaliyolengwa ya makombora ya Iran dhidi ya majengo ya serikali katika Palestina inayokaliwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na Shirika la habari la Tasnim la Iran, likinukuu Idara ya Uhusiano wa Umma ya Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), ilitangaza kuwa ofisi ya waziri mkuu wa Israel na makao makuu ya jeshi la anga la Israel yalilengwa na makombora ya Khaybar ya Iran katika wimbi la kumi la mashambulizi ya Iran.
#focusnewstanzaniatv1 #netanyahu #iran #israel #usa #trump #yanga #simba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: