Wachimbaji madini ya Ruby Arusha watishiana silaha za moto
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-08-10
Просмотров: 18224
Описание: Shughuli za uchimbaji wa Madini ya Ruby kwenye Migodi iliyopo Kijiji cha Mundarara Wilayani Longido Mkoani Arusha zimeingia dosari hao baada ya kuripotiwa kwa matukio kadhaa ya kutishiana silaha za moto kufuatia mgongano ya kujitokeza kwa muingiliano wa chini ya ardhi baina ya Kampuni mbili za Mundarara Mining na Sendeu Mining.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: