Ostadh Kipofu Anayefundisha Madrasa—Msikiti Wake Wahitaji Msaada Haraka
Автор: kheri TV
Загружено: 2026-02-01
Просмотров: 13
Описание:
Video hii inaonyesha hali halisi ya ostadh ambaye ni mlemavu wa macho lakini anaendelea kufundisha madrasa kwa kujitolea.
Madrasa na msikiti wa eneo hili vinahitaji ukarabati mkubwa pamoja na kupata kisima cha maji kwa ajili ya wanafunzi na waumini.
Pia ostadh mwenyewe anahitaji msaada wa kimaisha ili aweze kuendelea kutoa elimu hii muhimu.
Tafadhali tushirikiane kusaidia kwa kadri ya uwezo wetu.
📞 Mawasiliano ya msaada: [0718775877]
💳 Njia za kuchangia: [0718775877] Mix by Yas
Asanteni sana kwa kushirikisha na kusambaza video hii
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: