Wakenya watakiwa kufuata njia zinazofaa wanapotafuta ajira ughaibuni
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 1
Описание:
Waziri wa masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amewatahadharisha wakenya dhidi ya kutafuta ajira nje ya nchi bila kufuata njia inazofaa akibaini kuwa baadhi ya ajira hizo huwa ni za kuwatapeli wakenya ambao hujipata pabaya baada ya kusafiri nje ya nchi.
Musalia amesisitiza umuhimu wa kuihusisha serikali katika hatua za kutafuta kazi na wanaposafiri ili wahakikishiwe usalama wao watakapokuwa wanafanya kazi nje ya nchi.
James Mwangi na taarifa ile
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: