MAPOKEZI YA KISHINDO KWA MUDIRI SHEIKH SAMIRI BARABARA ZIMEFUNGWA KUPISHA MSAFARA | SIO JAMBO DOGO
Автор: KHAIRIYYA ONLINE TV
Загружено: 2024-09-15
Просмотров: 1826
Описание:
Tazama Msafara wa Sheikh samiri ukiwasili Malindi mtaa wa mnadani
Kwa mara ya kwanza Khairiyya online Tv wanakuletea Vunja Rekodi ya mwaka mapokezi haya ya kishindo yameishangaza Khairiyya online Tv
Zaidi ya magari 30 pikipiki 50 zimeupamba msafara wa sheikh samiri katika MAPOKEZI yake yaliyofanyika huko lushoto wakati anakaribia Mtaa wa mnadani
Tumekuwekea Video yote Khairiyya online Tv gusa link uone ladha hizi za kipekee za wana shamsul maarifa Mtaa wa mnadani malindi kwa ust shaafii
Usisahau #comment #like #share #subscribe
Katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: