MJUE MWANAMKE MWENYE MIAKA 50 ALIYEZAA WATOTO 53 KWA MIMBA 17...📍CONGO
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 2328
Описание:
MJUE MWANAMKE MWENYE MIAKA 50 ALIYEZAA WATOTO 53 KWA MIMBA 17...📍CONGO
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Mama Francine ni mwanamke kutoka Goma Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambaye ana simulizi ya kusisimua ya kuwa na umri wa takriban miaka 50 akiwa amezaa Watoto 53 kupitia mimba 17 pekee.
Simulizi ya Mama Francine imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii, blogu na YouTube na kushangaza watu wengi duniani.
Swali la wengi limekuwa aliwezaje kupata watoto 53 kwa mimba 17?
Kwa mujibu Mama Francine, hakuwa akizaa mtoto mmojammoja mara nyingi.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: