UTASHANGAA. Orodha MPYA ( Top10) Mikoa yenye MATAJIRI wengi Tanzania. (Mwanza, shinyanga hazimo)
Автор: Mishta niwa
Загружено: 2024-12-01
Просмотров: 203167
Описание:
Hii ni orodha ya Mikoa yenye wakazi wengi wenye vipato vizuri Tanzania kuliko Mikoa mingine( GDP per Capita) kutokana na takwimu za machipisho kutoka Statista, Nbs, The citizen na mitandao mingine.HIVYO....
ANGALIZO!
Takwimu zilizopo katika video hii sio mwongozo halisi wa Takwimu za watu wa Mikoa na vipato vyao, na Wala Video hii sio Chanzo rasmi Cha Taarifa za kiuchumi na kifedha...Ni jukumu lako mwenyewe kufuatilia na kutafuta taarifa katika vyanzo Rasmi vya takwimu kama vile Ofisi ya Taifa ya Takwimu( NBS) NA VYANZO VINGINE RASMI vya taarifa za kiserikali. Video hii ni kama chagizo tu la wewe kupenda kufuatilia na kutafuta taarifa za kitaifa sio tu kwenye suala la kiuchumi Bali hata kwenye nyanja nyingine muhimu kwenye jamii. Asante🙏
Usisahau ku-subscribe, ku-like, ku-share na ku-comment, ili kuwa mwanafamilia wa channel hii.Enjoy😋
Pia,
Picha mgando na picha mjongeo zote zilizotumika hazina ufanano wa Moja kwa Moja na mkoa au sehemu tajwa , Vile vile hakuna lengo la kuvunja Haki miliki kwa sababu zimetumika kwa lengo la kuelimisha chini ya matumizi ungwana (fair use)
Kumbuka! Video hii ni zao la simu mwanzo mwisho, kwa msaada na maswala mengine
Kupitia WhatsApp
+255 698975627
🎶 Music
An Epic Story by MaxKoMusic | https://maxkomusic.com/
Music promoted by https://www.chosic.com/free-music/all/
Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 Unported (CC BY-SA 3.0)
https://creativecommons.org/licenses/...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: