JUMA NATURE - Bongo Flava Honors Full Show | Azawadiwa Tuzo na SUGU | TID Ameonesha Love
Автор: Bongo Project
Загружено: 2023-07-04
Просмотров: 1521
Описание:
Mkongwe Sugu kwa kushirikiana na Alliance Française ya Dar es salaam, Tanzania wameandaa tamasha la kila mwezi la kuwaenzi wakongwe wa Bongo Flava linaloitwa Bongo Flava Honors. Mwezi April 2023 alikuwa ni Juma Nature. Angalia Show Nzima...Juma aliimba vibao vyake vingi pendwa ikiwemo Mtoto Iddi, Akwelina, Inauma, Sitaki Demu na nyingine nyingi.
Mastaa wengi walitokea kushow love...Sugu mwenyewe, Dollo, TID, na wengine wengi walikuwepo.
#JumaNature #Nature #bongoproject #bongoflavahonors #sugu #bongofleva
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-102566415873260
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: