DC KUBECHA UTATUPELEKA MBALI,NA MIMI NI IMAMU WA MSIKITI:
Автор: Lushoto Plus+
Загружено: 2024-05-19
Просмотров: 203
Описание:
hayo yalijiri wakati kaim mwenyekiti wa halmashaur ya lushoto ambae pia ni mhe,diwani wa kata mbaramo Zuberi Ulanga wakati akitoa salam zake kwa niaba ya mwenyekiti.
Kubwa ni kumshukuru mhe,dc Japhari kubecha jinsi anavoonyesha ushirikiano mkubwa na viongozi wenzake katika kutatua matatizo katika wilaya yake yenye majimbo matatu ambayo ni bumbuli,lushoto na mlalo yenye wabunge wa 4.
Pia kaim mwenyekiti huyo alichomekea nae changamoto zake zinazo ikabili kata yake,ikiwemo suala zima la mifereji iliosahaulika kwa muda mrefu.
SIKILIZA FULL VIDEO;
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: