Mbunge Awapiga Vijembe CHADEMA, 'Wanapiga Sarakasi Barabarani' Ni Kuhusu Sheria za Uchaguzi
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-01-30
Просмотров: 1481
Описание:
Bunge limerejea leo Januari 30,2024, hiki ni kikao cha kumi na nne cha Bunge la 12. Ratiba ya siku ya leo inajumuisha:
Taarifa Ya Spika, ambapo amezungumzia sheria zilizosainiwa na Rais, ikiwemo sheria ya Bima ya Afya kwa wote.
Hati Za Kuwasilisha Mezani :
Ofisi Ya Waziri Mkuu - Mwenyekiti Wa Kamati Ya Kudumu Ya Bunge Ya Utawala Katiba Na Sheria V. Maswali - Ofisi Ya Waziri Mkuu - Ofisi Ya Rais (Tamisemi) –
Ofisi Ya Rais (Utumishi Na Utawala Bora) - Ofisi Ya Rais (Mipango Na Uwekezaji) –
Ofisi Ya Makamu Wa Rais (Muungano Na Mazingira) - Wizara Ya Ulinzi Na Jeshi La Kujenga Taifa - Wizara Ya Maji - Wizara Ya Fedha - Wizara Ya Ardhi, Nyumba Na Maendeleo Ya Makazi - Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki - Wizara Ya Ujenzi - Wizara Ya Nishati.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: