Wakazi wa Lamu wakashifu kauli za Rigathi Gachagua
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 463
Описание:
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Viongozi wa Kiislamu katika Kaunti ya Lamu wamekashifu vikali matamshi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusu siasa za kaunti hiyo, wakionya kuwa kauli hizo zinaweza kuchochea migawanyiko ya kijamii.Wakiongozwa na Abubakar Bini na Abdulaziz Mohammed, viongozi hao walisema matamshi ya kisiasa yamechangia kuwepo kwa vizuizi vya usafiri wa jioni ambavyo vimeathiri uchumi wa Lamu kwa zaidi ya muongo mmoja. Wamemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kupitia upya agizo hilo.
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
/ ktnnewskenya
Follow us on Twitter: / ktnnewske
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: