Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 586 wa JWTZ mkoani Arusha.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2016-05-07
Просмотров: 12204
Описание: Rais John Magufuli ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya mia tano na themanini na sita wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa tanzania kwa cheo cha Luteni uso katika chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli huku sita kati yao wakiwa ni wanawake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: