Nape: Magufuli ameisimamia vyema ilani ya CCM, tumpe tena
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2020-04-07
Просмотров: 104
Описание: MBUNGE wa Jimbo la Mtama na Katibu Mwenezi wa zamani wa Chama cha Mapinduzi Nape Nnauye ameliambia Bunge kuwa kazi ambayo CCM ilimkabidhi Rais Dk. John Magufuli kuifanya katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa chamka hicho 2015-2020 ameitekeleza kwa kiwango kikubwa hivyo apewe nafasi ingine na ikibidi asiwe na mpinzani kutoka pande yeyote ili amalizie yale yaliyobaki kwa ufanisi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: