Rais asema muungano huu utawashinda wapinzani kwa pengo ya kura 3M
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 40
Описание: Rais William Ruto ametetea muungano wa chama cha UDA na ODM akisema lengo lao la kuelekea katika uchaguzi mkuu ujao kama muungano mmoja utawawezesha kupata ushindi mkubwa kwa kuwaacha wapinzani wao kwa pengo la kura milioni mbili. Akizungumza katika kongamano na viongozi wa UDA katika Ikulu ya Nairobi, Rais alieleza kuwa kama chama cha UDA wako tayari kukabiliana na wapinzani wao kuhusu nani aliye na ajenda bora kwa Wakenya, wala si kuendeleza siasa za fitina na mgawanyiko
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: