HII NDIYO AHADI YA ULEGA KWA WANANCHI WA MKURANGA KAMA WAKIMCHAGUA KUWA MBUNGE TENA....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-09-15
Просмотров: 1937
Описание:
HII NDIYO AHADI YA ULEGA KWA WANANCHI WA MKURANGA KAMA WAKIMCHAGUA KUWA MBUNGE TENA....
Wananchi wa kata ya tambani wameombwa kukipa kura nyingi chama cha mapinduzi (CCM) ili waweze kurekebishiwa miundombinu yao hususani barabara ambayo ni changamoto kubwa kwao, pamoja na daraja la kifaulongo lililopo katika kata hiyo ambalo limevunjika kutokana na mvua zilizonyesha kipindi kilichopita.
Akizungumza wakati wa kampeni akiwa katika kijiji cha tambani, kata ya tambani Mkuranga mkoani Pwani, Mgombea ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega, amewahakikishia wananchi hao kwamba kipindi cha masika kijacho daraja hilo ambalo ni kiunganishi kati ya wilaya ya Temeke na mkuranga litakuwa limesharekebishwa.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: