HISTORIA YA LAUREANO RUGAMBWA/KARDINALI WA KWANZA MWEUSI BARANI AFRIKA.NA KIZITO MPANGALA
Автор: Radio Maria Tanzania
Загружено: 2020-03-12
Просмотров: 48566
Описание:
Mnamo tarehe 14 Julai 1912 familia ya Mzee Rushubirwa huko Kagera ilijawa na furaha isiyo kifani kwa kupata mtoto wa kiume kutoka kwa mama Mukaboshezi. Mam Mukaboshezi alivumilia taabu na shida zote zimpatazo mwanamke wakati wa uja uzito. Naye Mzee Rushubirwa hakuwa mbali na mkewe mpaka pale mtoto wa kiume alipozaliwa.
Kardinali Laureano Rugambwa apumzike kwa amani.
Kizito Mpangala, 2020
Dar es Salaam
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: