Dr. Chris Mauki : Hatua saba (7) za kufuta kumbukubu mbaya zinazokutesa
Автор: Chris Mauki
Загружено: 2020-06-08
Просмотров: 33160
Описание: Wengi wetu tumepitia nyakati mbaya na zinazoumiza huko nyuma. Labda uliteswa, ulitengwa, ulinyanyaswa, ulidhulumiwa na mengine mengi. Mambo haya yote yana tabia ya kuacha alama kwenye maisha yetu, kwenye fikra zetu, na tunaendelea kuishi tukiwa na kumbukumbu mbaya sana kutokana na yale tuliyoyapitia. Najua huzipendi kumbukumbu hizi lakini zipo na zinakufuatilia. Je unatamani kuzifuta? Niruhusu nikufundishe hatua 7 za kukusaidia kuzifuta kabisa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: