Naomba support yako, hii ni Audio ya wimbo wangu wa kwanza "MPYA" jina lake ni *ASANTE MUNGU*.
Автор: Adam Mola
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 67
Описание:
WIMBO WA KWANZA 🎙 STUDIO, hii ni Audio ya wimbo wangu MPYA wa injili unaoenda kwa jina la "ASANTE MUNGU", katika akaunti yangu ya hii ya youtube.Ombi wapendwa, me ni kijana wenu naomba mnisupport ,kwa kusubscribe,kulike,na kucomments ..!! Na Mungu awabariki sana.
mitandao mingine ya kijamii napatikana kama huku tu search
Adam mola (tiktok,Facebook and Instagram)
May Almighty God bless you.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: