Ukweli Unauma? Hii Ndio Sababu | The Laws of Human Nature – Robert Greene (sura ya saba)
Автор: SAUTI YA KURASA
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 615
Описание:
Watu wengi huamini tatizo lao ni kukosolewa sana au kutoeleweka, lakini ukweli ni huu: mara nyingi hatukatai ukweli kwa sababu ni mbaya, bali kwa sababu unagusa ego yetu.
Katika video hii ya Sauti ya Kurasa, tunaingia kwa undani kwenye Sura ya 7 ya kitabu The Laws of Human Nature cha Robert Greene – The Law of Defensiveness. Utajifunza kwa nini binadamu hujilinda wanapokosolewa, maana ya self-opinion, na kwa nini kumwambia mtu “umekosea” mara nyingi husababisha upinzani badala ya mabadiliko.
Video hii pia inaeleza sanaa ya soft influence, na jinsi Master Persuader anavyoweza kuwashawishi watu bila kuvunja ego zao. Haya ni maarifa muhimu kwa mahusiano, kazi, uongozi, biashara na maisha kwa ujumla.
Kama unapenda saikolojia ya binadamu, maendeleo binafsi, na mafundisho ya Robert Greene, video hii ni kwa ajili yako.
👉 Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe ili kuendelea kupata maarifa kutoka kwenye vitabu vinavyobadilisha fikra.
#RobertGreene #TheLawsOfHumanNature #Defensiveness #Saikolojia #Ego #SautiYaKurasa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: