Huyu Ndye Rais MASIKINI Zaidi Duniani, ALIYEPIGWA RISASI Na Kuishi JELA!!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-10-28
Просмотров: 24257
Описание:
Huyu Ndye Rais MASIKINI Zaidi Duniani, ALIYEPIGWA RISASI Na Kuishi JELA!!
Ni Rais Jose Mujica wa Uruguay, Kutokana na hulka ya Viongozi na watu wengi kutaka kutukuzwa na kupewa kipao mbele hasa katika kupata huduma za kijamii; una maoni gani kwa mfano huu wa aliyekuwa rais wa Uruguay, kwani yeye hupanga foleni ya kumuona daktari katika hospitali ya umma? Ni Rais ,askini zaidi duniani, ni Rais Jose Mujica
Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake kusaidia watu masikini.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list...
EXCLUSIVE INTERVIEWS:https://www.youtube.com/playlist?li
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: