Utofauti uliopo kati ya Pressure Cooker ya 'Manual na 'Automatic'
Автор: Jiko Point
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 570
Описание:
Utofauti mkubwa uliopo ni kwamba?
Pressure cooker za Manual: Zinakuhitaji mtumiaji kufuatilia mara kwa mara kiwango cha mvuke na muda wa kupika, hivyo zinategemea zaidi uangalizi na uzoefu wa mpishi.
Pressure cooker za Automatic: Huwa na mfumo wa kielektroniki unaodhibiti joto, muda na shinikizo kiotomatiki, hivyo kumpunguzia mtumiaji kazi na kuongeza usalama pamoja na urahisi wa matumizi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: