MAHAKAMA YAAMURU VIWANJA VYA HOTELI VIUZWE ILI MILIONI 500 ZILIPWE KWA WAFANYAKAZI 238
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-02-08
Просмотров: 9601
Описание:
Mahakama kuu Kanda ya Arusha,imeridhia kuuzwa kwa Mali za mmiliki wa hotel ya Impala na Naura Spring ikiwemo viwanja vinne ili kufidia malipo ya wafanyakazi 238 yanayofikia kiasi Cha zaidi ya sh,milioni 500.
Akitoa hukumu hiyo jaji wa mahakama hiyo, Mohamed Gwae amesema baada ya mahakama kupitia pingamizi za mmiliki wa hoteli hizo akipinga uamuzi wa msajili wa mahakama kuu Kanda ya Arusha, masijala Ndogo ya kazi juu ya kuuzwa kwa Mali zake ili kufidia malipo ya wafanyakazi, ameona hayana mashiko
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: