FANANI : HISTORY KABLA BONGOFLEVA/NANI WA KWANZA/KABLA HARDBLASTERZ/KISA CHA MADAWA/KUACHA AU KUFELI
Автор: KuviFacts
Загружено: 2025-09-02
Просмотров: 8393
Описание:
HIPHOP CORNER NA FANANI EPISODE 6
Karibu katika episode ya sita ya podcast yetu ya Hiphop Corner ambako tumeketi chini na mkongwe Fanani wa Uhakika ambae alikua ni member wa kundi muhimu katika historia ya muziki wa Tanzania,katika episode hii Fanani anatupa historia za awali kabisa kabla ya kuzaliwa kwa Bongofleva ambapo kulikua na harakati za kusisimua ,pia Fanani anaelezea alivyo pata changamoto zilizomuweka matatani nje ya game za matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka 16 na kupoteza karibu kila kitu,karibu na ufurahie
Wasiliana nasi kwa nambari +255715888550
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: