Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya wanawake, hali ni ya maumivu Kenya
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 351
Описание:
Wakati ulimwengu ukiadhim,isha hii leo siku ya wanawake nchini Kenya, idadi ya wanawake wanaouawa kila mwaka imekuwa ikiongezeka, lakini mauaji ya wanawake hata si neno la kisheria. Shirika lisilo la kiserikali la Usikimye linafanya kazi ya kubadilisha hilo na kuongeza uelewa kuhusu ukatili wa kijinsia.
#dwkiswahili #kenya #womensday #africaexplained and #thisiseastafrica
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: