IRAN YAISHAMBULIA kwa NGUVU MELI ya KIVITA ya MAREKANI kwa MAKOMBORA HATARI ya QARD na TALAIEH...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 29221
Описание:
IRAN YAISHAMBULIA kwa NGUVU MELI ya KIVITA ya MAREKANI kwa MAKOMBORA HATARI ya QARD na TALAIEH... 📍IRAN
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Jeshi la Mapinduzi la Iran (Islamic Revolutionary Guard Corps – IRGC) limedai kuwa limeishambulia meli ya kivita ya Jeshi la Wanamaji la Marekani katika Bahari ya Hindi kwa kutumia makombora ya Qadr-380 na Talaieh, likisema shambulio hilo lilikuwa ni kulipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel yaliyolenga maeneo ya kijeshi ya Iran.
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: