SHUHUDIA NAMNA BONDIA IBRAHIMU CLASS ALIVYOZIBA JINO NA KUSAFISHA MENO YAKE NDANI YA HOSPITALI YETU
Автор: ROYAL POLYCLINIC
Загружено: 2024-02-22
Просмотров: 1332
Описание:
Hivi ndivyo Balozi wetu, bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, Ibrahimu Class alivyoziba Jino lake pamoja na kusafisha meno yake yote ndani ya Hospital yetu ya Royal Polyclinic.
Mtaalamu wetu wa kinywa na meno pia alimpa ushauri wa namna ya kutunza kinywa na meno ili yaweze kuwa imara na yasipate mashambulizi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: