DCI yatoa ripoti kuhusu mshukiwa wa ugaidi Rashid Salim aliyekamatwa nchini DRC
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-01-30
Просмотров: 78071
Описание: Maafisa wa kitengo cha kupambana na ugaidi wamepangiwa kumhoji mshukiwa wa ugaidi na mtoro Rashid Mohammed Salim aliyekamatwa katika Jamhuri ya kidemokresi ya Congo. Idara ya upelelezi wa jinai DCI sasa ikisema kuwa, mahojiano hayo yatafanywa kwa ushirikiano na maafisa wa polisi wa kimataifa wa interpol katika taifa hilo la DRC.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: