JINSI YA KUPIKA WALI WA KICHINA WA NYAMA YA N'GOMBE (COLLABORATION)
Автор: farwat's kitchen
Загружено: 2021-02-05
Просмотров: 16189
Описание:
Mapishi ya kuku wa sekela(hadija Shebani)
• Kuku wa Sekela / Sekela Chicken / Collabor...
WALI WA KICHINA
MAHITAJI
▪️Mchele nusu kilo (ni vizuri ukipata basmati)
▪️Mayai 3
▪️peas 1 cup
▪️cabbage vikombe 3
▪️nyama steki (bila mifupa)1/2kg iliochemshwa na chumvi na kukatwa ndogo ndogo sana
▪️supu ya hiyo nyama 1 cup
▪️Vitunguu maji 2
▪️carrot 1 kubwa
▪️pilipili hoho/pilipili boga 2
▪️kitunguu saumu 1tbsp
▪️ngwaru (french beans) 1 & 1/2 cup
▪️vidonge vya supu (jumbo) 2
▪️chumvi kiasi
▪️mafuta ya uto(mafuta ya kupikia 1/4cup
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: