Mbunge CHADEMA Alivyotolewa Bungeni Leo I Adai Kudhalilishwa I Asema Watamalizana Nje
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2020-06-12
Просмотров: 69096
Описание:
Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtoa nje ya Bunge, Mbunge Yosepher Komba, Viti Maalum(CHADEMA) baada ya kutokea mvutano akilalamika kudhalilishwa na Jackline Msongozi Mbunge wa Viti Maalum(CCM). Wakati akichangia, Mbunge Jackline amegusia suala la unyanyasaji wa kingono alioeleza upo CHADEMA akisema Mbunge Yosepher aliwahi kumlalamikia juu ya suala hilo
#Bajeti2020
#CloudsDigitalUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: