Ujumbe Muhimu kwa Mwombaji na Mhubiri || Pastor Ulenje || Moyo wa Maombi
Автор: Moyo wa Maombi - GodAnswersPrayers
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 115
Описание:
Karibu tuendelee kujifunza
SIKU 100 ZA KUJIFUNZA KUHUSU ROHO MTAKATIFU na Hili ni somo la 04/100 Ni somo muhimu sana naamini litakuinua na kukufanya kuwa shujaa wa imani; na utaweza kusimama kwenye zamu yako kuleta ukombozi kwenye familia na ukoo wako; na Mungu atakutumia sana si tu kwa familia bali hata kwa kizazi cha leo; wengi wataokolewa kupitia wewe.
Leo tunajifunza kuhusu ROHO WA BWANA;
Yesu anasema;
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa, Lk 4:18
Utaona nini Yesu amemaanisha; na wewe unawezaje kuwa na Roho wa Bwana na akakutumia kufungua waliofungwa, na kuleta ukombozi wa familia, ukoo wako na generation ya sasa; na kupajenga mahali polipobomoka; na hapo ndipo penye nguvu ya maombi.
Karibu Kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp Kwa link hii hapa chini;
https://whatsapp.com/channel/0029VbAc...
Kuwasiliana na Pastor Ulenje
+255 683 477827
+255 794 352533
[email protected]
MUNGU AKUBARIKI SANA
Karibu kusikiliza
#maombi #maombiyausiku #maombiyasiku #rohomtakatifu #nenolamungu #nenolaleo #swahili #upakolive #mchungaji #mtume #nabiidris #tanzania #kenya #uganda #congo #yesu #mafundishoyabiblia #mafundisho #pastorsunbellakyando #pastor
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: