TCAA YATOA SOMO KWA WASAFIRI WA USAFIRI WA ANGA
Автор: LIFE TV TANZANIA
Загружено: 2025-08-05
Просмотров: 4
Описание:
Baraza la ushauri la watumiaji wa usafiri wa Anga (TCAA) limewataka wananchi kuhakikisha wanasoma maelekezo yanayotolewa na wahudumu wa usafiri wa Anga kabla ya kusafiri ili kuepuka changamoto inayoweza kutokea wakiwa safarini.
Hayo yalizungumzwa na Debora Mrigo leo Agosti 5/2025 katika viwanja vya Nzuguni yanapofanyika Maonesho ya Kitaifa ya Nanenane Jijini Dodoma
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: